Sunday, 26 August 2007

twanga wapiga hodi holland

kundi zima la wana twanga pepeta (mgongo mgongo)wanatarajia kufanya shoo ya kufa mtu ijumaa ya tarehe 7 mwezi wa tisa ktk ukumbi party centrum de hooiberg uliopa rotterdam.

No comments: