Thursday, 6 September 2007

mchezaji wa msumiji afariki

mchezaji wa kimataifa wa black mamba ya msumbiji Fernando matola amefariki dunia baada ya kupata ajali wakati akitokea nchini afrika kusini kwenda msumbiji kujiandaa na mechi ya kufuzu kucheza kombe la afrika siku ya jumamosi kati taifa stars.

No comments: