timu ya arsenal ya uingereza leo imeendeleza ubabe wake baada ya kuitundukia timu ya SK slavia praha jumla ya magoli 7-0 ktk kinyang'anyiro cha klabu ubingwa ulaya ktk mchezo uliochezwa ktk uwanja wa emirate.
nayo timu ya Manchester united imefanikiwa kuifunga kuifunga timu ya Dynamo kyiv jumla ya magoli 4-2.
matokeo mengine ya klabu bingwa ulaya ni kama ifuatavyo
Rangers Barcelona 0-0
PSV Fenerbahce 0-0
Stuttgart Lyon 0-2
Roma Sporting 2-1
Sevilla Steaua 2-0
CSKA moscow Inter M 1-2

No comments:
Post a Comment