Wednesday, 3 October 2007

Arsenal yaendeleza ubabe


wana emirate wanazidi kung'ara ktk klabu bingwa ulaya baada ya kuitungua goli 1-o timu ya steaua-bucharest,nayo timu ya sevilla toka spain imefakiwa kushinda goli 4-2,dhidi ya timu ya slavia.ktk mchezo wa group H

No comments: