

Timu ya Arsenal jana imelazimshwa sare ya bila kufungana na timu ya slavia,nayo Manchester united imefanikiwa kuitungua timu ya Dynamo kyiv jumla ya goli nne kwa bila.Kwa matokea hayo yamezifanya timu ya Arsenal na Manchester united kusonga mbele ktk mashindano ya klab bingwa ulaya.
Matokeo mengine ni kama ifuatavyo:
Lyon 4-2 Stuttgart
Barcelona 2-0 Rangers
Sporting 2-2 Roma
Internazionale 4-2 CSKA Moskva
Fenerbahçe 2-0 PSV
Steaua 0-2 Sevilla
kessy58..............................................................

No comments:
Post a Comment