2 - 2C.fabregas 48 W.gallas 45+ (o.g)
W.gallas 90+ C.ronaldo 82
Miamba ya soka nchini uingereza timu za Arsena na Manchester zimeshindwa kutambiana ktk kinyang'anyiro cha ligu kuu uingereza baada ya kutoka suluhu ya jumla ya mabao mawili kwa mawili,hivyo basi kwa matokeo hayo Arsenal yaendelea kushika usukani wa ligi kwa kuwa na point 27 sawa manchester united.
na kessy58.......................

No comments:
Post a Comment