Tuesday 6 November 2007

Je liverpool leo kutupwa nje ya mashindano?


Timu ya liverpool leo inashuka dimbani kumenyana na besiktas ya uturuki ktk kinyan'ganyiro ya mashindano ya klab bingwa ulaya,liverpool inatakiwa ishinde meshi zake zote zilizosalia ili kufuzu kendelea mbele na mashindano haya,iwapo itafungwa utakuwa mwisho wao wa mashindano haya kwa msimu huu.
kessy58..........................


1 comment:

Anonymous said...

Interesting to know.