Friday, 16 November 2007

Mr misifa kukamua ndani ya holland november 30


Mwanafuziki wa kizazi kipya bongo flava Dully Sykes anatarajia kufanya show ya kufa mtu tarehe 30/11/07 katika ukumbi wa party centrum houttuinenstraat 26 uliopo delft.Show itaanza saa 22:00 hrs mpaka saa 05:00.Kiingilio ni euro 20(presale)na 25 euro mlangoni.
kessy58..............................................................................

No comments: