
Liverpool jana iliizamisha Arsenal sare ya goli 1-1 mchezo uliochezwa katika uwanja wa emirate katika kinyang'anyiro cha ligi kuu uingereza.Liverpool ilikuwa ya kwanza kuiona nyavu ya Arsenal katika dakika 42 goli lillilofungwa na peter crouch,N. Bendtner alisawazisha goli laArsenal katika dakika ya 54.
kessy58..........................................................
kessy58..........................................................

No comments:
Post a Comment