Saturday 8 November 2008

Arsenal yafanya kweli kwa ManU

timu ya Arsenal imefanikiwa kuifunga Manchester United kwa magoli 2-1 ktk kinyang'anyiro cha ligi kuu uingereza.Arsena ilishuka dimbani bila ya washambualiaji wake E.Adebayo na R.van Persie.magoli ya Arsenal yalipatikana katika dakika ya 22 na 48 kupitia kwa mchezaji S. Nasri na la Manchester lilipatikana katika dakika ya 88 kupitia kwa mchezaji chipukizi R.d. Silva.
kessy58..............................................................................

No comments: