Saturday, 18 August 2007

Mechi ya Stars,Msumbiji kupigwa saa mbili usiku

Mechi ya timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars dhidi ya Msumbiji, Black Mambas iliyopangwa kufanyika Septemba 8 kwenye uwanja mpya wa kisasa sasa itaanza saa mbili usiku badala ya saa moja kama ilivyotangazwa hapo awali.

No comments: