Saturday, 18 August 2007

Twanga pepeta pia kufanya onyesho Holland

Bendi ya African stars twanga pepeta hivi karibuni wanatarajia kufanya onyesho la kufa mtu ktk jiji la rotterdam nchini uholanzi tarehe 07/09/07.
na hii chini ni anuani ya ukumbi watakaomua wana twanga pepeta
maelelezo kamili mtayapata hivi karibuni.

PARTY CENTER DE HOOIBERG,

GALVNISTRAAT 34-36
3029AD,ROTTERDAM

1 comment:

Anonymous said...

kweli nimekubali.