Wednesday 5 September 2007

onyesho la twanga laahirishwa

lile onyesho la twanga lillilokuwa lifanyike ijumaa hii ya tarehe 07/09/07 pale rotterdam sasa halipo tena.
wadau wote wa uholanzi mliokuwa mnasubiria kwa hamu mnaombwa radhi.
ahsanteni...........

1 comment:

Anonymous said...

hela au kweli kiguzo0