

Timu ya Arsenal jana imefanikiwa kuitundika timu ya Chelsea ktk jumla ya goli 1-0 kinyang'anyiro cha ligi kuu ya uingereza.Bao la Arsenal lilipatikana katika dakika ya 45 kutoka kwa mchezaji Gallas baada ya kona ndefu iliyopigwa na kumkuta kichwani na kuuzamisha mpira wavuni.Nayo timu ya Manchester imefanikiwa kuifunga timu ya Liverpool kwa goli 1-0.Goli la manchester limefungwa kutoka kwa Tevez.Kwa matokeo hayo Arsenal bado inaongoza ligi kwa point 40 huku Manchester ikiwa ya pili kwa point 39.
kessy58.................................................................................
kessy58.................................................................................

No comments:
Post a Comment