Sunday, 16 December 2007

leo ndio leo


leo ndio leo miamba ya soka minne ya uingereza inajitupa viwanjani leo kugombania point tatu muhimu ktk kinyan'ganyiro cha liguu kuu ya uingereza,Wana wa emirate leo wanaikaribisha timu ya chelsea huku Liverpool ingaingia dimbani kumenyana na Manchester.
kessy58................................................................................


No comments: