Wednesday, 12 December 2007

Kudadeki Liverpool


Timu ya Liverpool ya uingereza jana imefanikiwa kuingia ktk mzunguko wa pili wa mashindano ya klabu bingwa ulaya baada ya kuibuka kidedea kwa kuifunga timu ya Marseile ya ufaransa kwa jumla ya goli 4-0.Magoli ya Liverpool yalifungwa na wachezaji,Steve Gerrad,Torres,Kuijt na babel.Matokeo mengine ya mechi ya jana ni kama ifuatavyo:
Olympiacos 3-0 BremenReal
Madrid
3-1 Lazio
Schalke 3-1 Rosenborg
Porto 2-0 Beşiktaş
Chelsea 0-0 ValenciaKwa matokeo hayo yamezifanza timu za R.madrid,Shakle,Ac Milan,Chelsea,Porto,Liverpool,celtic na Olympiacos kufuzu kwa mzunguko wa pili wa mashindano haya.
kessy58..........................................

No comments: