Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) jana mjini Nyon, Uswisi lilitegua kitendawili cha nani atacheza na nani katika hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ambayo inahusisha timu 16. Vinara wa Ligi Kuu ya England, Arsenal watacheza na mabingwa watetezi wa Ulaya, AC Milan katika mechi za hatua ya pili ya mtoano kwenye Ligi ya mabingwa Ulaya.
Liverpool ambao mwaka jana walitinga fainali ya michuano hiyo kwa kucheza na AC Milan, ambapo walifungwa mabao 2-1 wataanza kucheza nyumbani na mabingwa wa Italia, Inter Milan. Mabingwa Uingereza, Manchester United watasafiri kwenda Ufaransa kucheza mechi ya kwanza na Lyon ya Ufaransa na Celtic ya uskoti itachuana na miamba wa La Liga Barcelona. Lakini hata hivyo Manchester United na Chelsea zote zimefaidika kwa kupangwa na timu ambazo hazionekani kutisha sana za Lyon na Olympiacos .
AS Roma ya Italia imepangwa kucheza na miamba ya soka ya Hispania Real Madrid huku Fenerbahce ya Ugiriki ikipangwa kucheza na Sevilla ya Hispania. Miamba wengine wa England, Chelsea watasafiri kwenda ugenini kuchuana na Olympiakos nchini Ufaransa huku Schalke ya Ujerumani ikiikaribisha FC Porto.
Mechi za kwanza zitafanyika kati ya Jumanne na Jumatano ya Februari 19-20, 2007. Katika upangaji wa ratiba hiyo iliofanywa na UEFA kwenye makao yake makuu mjini Nyon, timu zilizokuwa za kwanza katika hatua ya makundi zimepewa faida ya kucheza machi za marudiano kwenye viwanja vyao vya nyumbani.
Sambamba na upangaji wa wa makundi ya klabu Bingwa UEFA, pi ilipanga timu 32 zitazocheza katika mashindano ya kombe la UEFA kama ifuatavyo:
Aberdeen - Bayern Munich
AEK Athens - Getafe
Bolton - Atletico Madrid
Zenit St Petersburg vVillarreal
Galatasaray - Bayer Leverkusen
Anderlecht - Bordeaux
Brann - Everton
FC Zurich - Hamburg
Rangers - Panathinaikos
PSV Eindhoven - Helsingborgs
Slavia Prague - Tottenham
Rosenborg - Fiorentina
Sporting Lisbon - Basle
Werder Bremen - SC Braga
Benfica - Nuremberg
Marseille - Spartak Moscow
kessy58......................................................................................

No comments:
Post a Comment