Sunday, 17 February 2008

FA Cup:Arsenal yabamizwa


Timu ya Arsenal jana imeonja joto ya jiwe baada ya kubamizwa magoli 4-0 kutoka kwa wapinzani wao Manchester United ktk kinyang'anyiro ya kombe la FA,magoli ya Manchester yalipatika kutoka kwa wachezaji Rooney 16, Fletcher 20, Nani 38, Fletcher 74. na kwa matokeo hayo yaimefanya Arsenal kutolewa ktk mashindano.
kessy58.......................................................................

No comments: