
Timu ya Real Madrid imetupwa nje ya mashindano ya kombe la ulaya baada ya kutundikwa magoli 2-1 na AC Roma ktk mchezo uliochezwa mjini Madrid,kwa matokeo hayo yameifanya Roma kuingia ktk hatua ya robo fainali.Nao vijana wa Chelsea wamefakiwa kuingia robo ya fainali ya kombe la klabu bingwa ulaya baada ya kuitundika bila huruma timu ya Olympiacos CFP toka ugiriki jumla ya magoli 3-0.Vile vile FC Porto imefanikiwa kusonga mbele kwa kuitundika Schalke kwa goli 1-0.Mechi ya Inter Milan na Liverpool imesogezwa mbele mpaka tarehe 12 march
.kessy58...........................................................................................

No comments:
Post a Comment