Wednesday, 5 March 2008

Arsenal yawakandamiza mabingwa watetezi




Timu ya Arsenal imefanikiwa kuingia robo fainali ya kombe la klabu bingwa ulaya baada ya kumfunga bingwa mtetezi AC milan kwa magoli 2-0 ktk mchezo uliofanyika san siro,goli la kwanza la Arsenal lilipatikana ktk dakika ya 84 kupitia kwa mchezaji C. Fabregas na la pili lilipatikana ktk dakika ya 90 kupitia kwa mchezaji E.S. Adebayor.
Nazo timu za Manchester united,fc barcelona na Fenerbahce zimefanikiwa kutinga robo fainali ya kombe la klabu bingwa ulaya.
Michuano hiyo inaendelea tena leo jioni kwa kuzikutanisha timu zifuatazo:
Chelsea - Olympiakos Piraeus
FC Porto - Schalke
Real Madrid - AS Roma
Liverpool - Inter milan
kessy58...................................................................................

No comments: