Tuesday 10 June 2008

Italy aibu tupu




Mabingwa wa dunia italy leo wametia aibu ktk kinyang'anyiro cha kombe la ulaya baada ya kutundikwa magoli 3-0 na timu ya netherland ktk kundi C.goli la kwanza la wadachi lilipatikana katika dakika ya 26 kupitia kwa mfungaji R.v. Nistelrooy na goli la pili lilipatikana katika ya 31 mfungaji akiwa W. Sneijder na la mwisho lilipatikana kupitia kwa mchezaji G.v. Bronckhorst katika dakika ya 79.Katika mchezo mwingine wa kundi C ulikutanisha timu kati ya Ufaransa na Romania na matokeo ni 0-0,kwa matokeo hayo netherland wanashika usukani kwa point 3 ikifuatiwa na Ufaransa na Romania kwa point 1.Kinyang'anyiro kingine cha mashindano hayo kinaendelea tena kesho (Leo) ktk kundi D kati ya Spain - Russia na Greece -Sweden.
kessy58.....................................................

No comments: