Friday 13 June 2008

holland oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

timu ya holland imefanikiwa kusonga mbele ktk mashindano la kombe la ulaya baada ya kuitundika bila huruma timu ya ufaransa jumla ya magoli 4-1.goli la kwanza lilipatika katika dakika 10 kupitia kwa mchezaji D. Kuyt,na la pili lilipatikana katika dakika ya 59 kutoka kwa R.v. Persie,la 3 dakika ya 72 toka kwa A. Robben na mwisho dakika ya 90 toka kwa W. Sneijder. goli la ufaransa lilipatikana katika dakika ya 71 toka kwa T. Henry.
kessy58.....................................................................................................................

No comments: