Thursday 26 June 2008

Ujerumani yatinga fainali kombe la ulaya

Timu ya Ujerumani imetinga fainali ya kombe la ulaya baada ya kuichapa Uturuki kwa mabao 3-2,Uturuki ilikuwa ya kwanza kuichungulia nyavu ya Ujerumani katika dakika ya 22 goli lilifungwa na U. Boral,dakika 4 baadaye Ujerumani ilisawazisha goli kupitia kwa B. Schweinsteiger magoli mengine yalipatikana katika ya 79 toka kwa M. Klose na dakika ya 90 toka kwa P. Lahm,goli la pili la Uturuki lilipatikana katika dakika ya 86 toka kwa S. Sentürk.Fainali itafanyika siku ya jumapili kati ya Ujerumani na mshindi wa kesho kati ya Urusi na Spain.


kessy58............................................................................
.

No comments: