skip to main |
skip to sidebar
Guud Hiddink kidume
timu ya soka ya Urusi chini ya kocha wake mdachi Guus Hiddink jana imefanikiwa kuiondoa Uholanzi katika kinyangányiro cha kombe la ulaya hatua ya robo fainali.Urusi itakutana alhamis na mshindi wa leo kati ya Spain au Italy katika hatua ya nusu fainali.
kessy58................................................................................
No comments:
Post a Comment