Wednesday 11 March 2009

Liverpool na Chelsea zasonga mbele,Mourihno arudi uingereza


Timu ya Liverpool ya uingereza jana imefanikiwa kusonga mbele ya mashindano ya kombe la klabu bingwa ulaya baada ya kuichapa bila huruma time ya Real madrid toka spain kwa magoli 4-0,nao vijana vya chelsea imesonga mbele ya mashindano hayo baada ya kutoka sare ya magoli 2-2 na timu ya Juventus toka Italy.
Matokeo mengine ni kama ifuatavyo
Villarreal 3-2 Panathinaikos,Sporting 1-12 Bayern.
Mtanange wa mashindano hayo unaendelea tena leo mabingwa watetezi
Man. United watachuana na Internazionale inayofundishwa na kocha wa zamani wa chelsea Jose Mourinho.Mechi zingine za leo ni kama ifuatavyo:
Porto - Atlético
Barcelona - Lyon
Roma - Arsenal
kessy58...........................................................................


No comments: