Saturday 14 March 2009

Manchester united yafanyiwa mchezo mbaya kwao na Liverpool


Timu ya Manchester united leo imeonja joto ya jiwa baada ya kucharazwa nyumbani kwao goli 4-1 na Liverpool katika mchezo wa ligi kuu ya uingereza.Nao vijana wa Arsenal wameifunga timu ya blackburn kwa magoli 4-0.
kessy58..............................................................


No comments: