
Timu ya Celtic jana imeshindwa kufurukuta ktk uwanja wake wa nyumbani baada ya kufungwa magoli 3-2 na timu ya Barcelona toka spain tkt kinyang'anyiro cha kombe la klabu bingwa ulaya.Nayo timu ya Arsenal imeshindwa kufurukuta ktk uwanja wake wa nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya bila kufungana na ACMilan ,matokeo mengine ni kama ifuatavyo:
Lyon 1-1 Man. United
Fenerbahçe 3-2 Sevilla
Schalke 1-0 Porto
Roma 2-1 Real Madrid
Olympiacos0-0 Chelsea
Liverpool 2-0 Internazionale
kessy58...............................................................
Lyon 1-1 Man. United
Fenerbahçe 3-2 Sevilla
Schalke 1-0 Porto
Roma 2-1 Real Madrid
Olympiacos0-0 Chelsea
Liverpool 2-0 Internazionale
kessy58...............................................................

No comments:
Post a Comment