Wednesday, 2 April 2008

Manchester United na Barcelona zatembeza kipigo


Mabingwa wa uingereza Man. United imafanikiwa kuitundika bila huruma timu Roma toka Italy kwa magoli 2-0 ktk kinyang'anyiro cha ligi klabu bingwa ulaya,goli la kwanza la Manchester lilipatikana ktk dakika ya 39 kupitia kwa mchezaji C.Ronaldo na la pili ktk dakika 66 kupitia kwa mchezaji W.Rooney.Nayo timu ya Barcelona imeitunduka timu ya Schalke ya ujerumani kwa goli 1-0,goli la barcelona lilipatikana katika dakika ya bojan,marudiano ya mechi ni tarehe 08/04/08.Kitim tim cha klabu bingwa ulaya kinaendelea tena leo jioni kwa kuzikutanisha :
Fenerbahçe - Chelsea
Arsenal - Liverpool
kessy58................................................................................

No comments: