Saturday 21 June 2008

nani kuonyesha ubabe leo kati ya Van basten na guus hiddink?

kitimutimu cha robo fainali kombe la ulaya kinaendelea tena leo kwa kukutanisha makocha wawili wa taifa moja,kati ya Van basten anayefundisha Uholanzi na Guus Hiddink anayefundisha Urusi. kessy58................................................................................

No comments: