
Sunday, 15 June 2008
spain kitu na box mabingwa watetezi nje ya mashindano
timu ya spain jana imefanikiwa kuendelea mbele na mashindano ya kombe la ulaya mzunguko wa pili baada ya kuifunga timu ya sweden kwa magoli 2-1.nao mabingwa matetezi wa kombe ulaya ugiriki jana wameaga mashindano baada ya kufungwa goli 1-0 na urusi. 

Subscribe to:
Post Comments (Atom)




1 comment:
very good blog congratulations
regard from Reus Catalonia Spain
thank you
Post a Comment