Saturday, 21 June 2008

ujerumani na uturuki zatinga nusu fainali kombe la ulaya

Timu za ujerumani na uturuki zimefanikiwa kuingia nusu fainali ya kombe la ulaya.Ujerumani iliifunga ureno jumala ya magoli 3-2.nayo uturuki imefunga croatia kwa njia ya penati 3-1 baada ya kutoka kufungana 1-1 katika dakika 120.
kessy58.....................................................................................................

No comments: