Monday 16 June 2008

Uturuki yaichapa Czech Republic

Timu ya uturuki imenikiwa kuingia robo fainali ya kombe la ulaya baada ya kuifunga Czech Republic kwa magoli 3-2.Czech Republic ndio ilikuwa ya kwanza kuona nyavu za uturuki goli la kwanza la Czech Republic lilipatikana katika dakika ya 34 kupitia kwa J.koller na pili lilipatikana katika dakika ya 62 toka kwa J.plasil,uturuki ilizinduka ghafla katika dakika 15 za mwisho na kuanza kupata bao la kwanza katika dakika ya 75 toka kwa A.Turan,goli la pili na la tatu yalipatikana katika ya dakika ya 87 na dakika ya 89 toka kwa N. Kahveci.katika matokeo mengine wenyeji Switzerland wameifunga ureno kwa magoli 2-0. Mechi zingine za leo ni kati ya Austria na ujerumani,Poland na Croatia.
kessy58..........................................................................................

1 comment:

Anonymous said...

Well done for this wonderful blog.